# kwa kuwa umemwachia aende "umemwachia" au "umemwacha hai" # maisha yako yatachukua nafasi ya maisha yake na watu wako kwa watu wake "utakufa badala yake, na watu wako watakufa kwa nafasi ya watu wako" # moyo mzito na mwenye hasira Maneno haya mawili yanamaanisha kitu kilekile. Yametumika kuonesha uzito wa hisia zake.