sw_tn/1co/16/01.md

21 lines
676 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Paulo anawakumbusha waumini wa Korintho kukusanya pesa kwa ajili ya waumini wenye mahitaji walioko Yerusalemu. Pia anawajulisha kuwa Timotheo atapitia kwao kabla ya kwenda kwa Paulo.
# ya waumini
Paulo alikuwa anakusanya pesa kutoka kwenye makanisa yake kwa ajili ya wakristo masikini wa kiyahudi huko Yerusalemu na Yuda.
# kama nilivyo elekeza
"kama nilivyowapa maelekezo mahususi"
# aweke kitu fulani kando na kukihifadhi,
Maana zinazowezekana ni: 1) " kitu hicho tunza nyumbani" au 2) "kilete kitunzwe kanisa"
# ili kwamba kusiwe na makusanyo wakati nitakapokuja
" kwa hiyo nitakapokuja hakutakuwa na haja ya kukusanya pesa zingine zaidi"