sw_tn/1co/15/45.md

9 lines
236 B
Markdown

# Lakini wa kiroho hakuja kwanza bali wa asili, na kisha wa kiroho.
" mtu wa asili alikuja kwanza. mtu wa kiroho alikuja baadaye na anatoka kwa Mungu"
# asili
aliumbwa kwa namna ya kidunia, na bado hajawa katika mahusiano na Mungu.