sw_tn/1co/14/17.md

13 lines
270 B
Markdown

# wewe washukuru
Paulo anatumia neno "wewe" kuzungumza na Wakorintho wote.
# hajengwi
Paulo anasema swala la kuwasaidia watu ni kama kujenga nyumba. lakini bado " mwingine hasaidiki"
# maneno kumi elfu
Inamaanisha "maneno elfu kumi au maneno mengi zaidi ya hayo".