# wewe washukuru Paulo anatumia neno "wewe" kuzungumza na Wakorintho wote. # hajengwi Paulo anasema swala la kuwasaidia watu ni kama kujenga nyumba. lakini bado " mwingine hasaidiki" # maneno kumi elfu Inamaanisha "maneno elfu kumi au maneno mengi zaidi ya hayo".