sw_tn/1co/14/15.md

25 lines
620 B
Markdown

# Nifanye nini?
Paulo anatoa utangulizi wa maamuzi yake. kwa maneno mengine anasema "hivi ndivyo nitakavyofanya"
# Nitaomba kwa roho yangu...nitaomba kwa akili zangu. Nitaimba kwa roho yangu...nitaimba kwa akili zangu
Maombi na nyimbo lazima ziwe katika lugha inayoeleweka kwa watu waliopo
# kwa akili zangu
" kwa maneno yanayoeleweka kwangu"
# ukimsifu Mungu... utoapo shukurani.. usemayo
Paulo anatumia neno "wewe" kutoa ujumbe kwa kila mtu anayeomba katika roho lakini si katika akili yake.
# mgeni ataitikaje "Amina"
kwa maneno mengine " Mgeni hataweza kusema Amina"
# ataitikaje "Amina"
" kukubali"