# Nifanye nini? Paulo anatoa utangulizi wa maamuzi yake. kwa maneno mengine anasema "hivi ndivyo nitakavyofanya" # Nitaomba kwa roho yangu...nitaomba kwa akili zangu. Nitaimba kwa roho yangu...nitaimba kwa akili zangu Maombi na nyimbo lazima ziwe katika lugha inayoeleweka kwa watu waliopo # kwa akili zangu " kwa maneno yanayoeleweka kwangu" # ukimsifu Mungu... utoapo shukurani.. usemayo Paulo anatumia neno "wewe" kutoa ujumbe kwa kila mtu anayeomba katika roho lakini si katika akili yake. # mgeni ataitikaje "Amina" kwa maneno mengine " Mgeni hataweza kusema Amina" # ataitikaje "Amina" " kukubali"