sw_tn/1co/11/13.md

17 lines
561 B
Markdown

# Hukumuni wenyewe
"Hukumuni suala hili kulingana na desturi za ndani na taratibu za kanisa mnazozijua"
# Ni sahihi mwanamke amwombe Mungu hali kichwa chake kikiwa wazi?
Ikielezewa katika muundo tendaji:-"Kwa kumheshimu Mungu, mwanamke lazima amwombe Mungu akiwa amefunika kichwa chake."
# Je hata asili peke yake haiwafundishi...kwake?
Paulo anatarajia Wakorintho wakubaliane naye kuwa " Hali ya asili huwafundisha" kwa maneno mengine " Mnajua hili kwa kutazama watu wanavyofanya kila mara"
# amepewa zile nywele
" Mungu alimuumba mwanamke na nywele"