# Hukumuni wenyewe "Hukumuni suala hili kulingana na desturi za ndani na taratibu za kanisa mnazozijua" # Ni sahihi mwanamke amwombe Mungu hali kichwa chake kikiwa wazi? Ikielezewa katika muundo tendaji:-"Kwa kumheshimu Mungu, mwanamke lazima amwombe Mungu akiwa amefunika kichwa chake." # Je hata asili peke yake haiwafundishi...kwake? Paulo anatarajia Wakorintho wakubaliane naye kuwa " Hali ya asili huwafundisha" kwa maneno mengine " Mnajua hili kwa kutazama watu wanavyofanya kila mara" # amepewa zile nywele " Mungu alimuumba mwanamke na nywele"