sw_tn/1co/05/01.md

21 lines
669 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
Paulo anaelezea kwa ufasaha kwamba amesikia kuna dhambi miongoni mwa waumini wa Wakorintho, na namna Wakorintho walivyojisifu na kukaa pamoja na mtu aliyetenda ile dhambi.
# Ile hairuhusiwi hata miongoni mwa mataifa
Katika muundo tendaji " hata watu wa wasioamini hawawezi kuruhusu"
# Mke wa baba
mke wa baba yake, lakini yawezekana si mama yake wa kumza
# Hampaswi kuhuzunika badala?
Hili ni swali lenye jibu limetumika kuwakemea Wakorintho. "Mnapaswa kuhuzunika kwa hili jambo!"
# Yeye aliyefanya hivi lazima awe ameondolewa miongoni mwenu
Katika hali ya muundo tendaji:- "Ni lazima aondolewe miongoni mwenu aliyefanya jambo hili ."