# Sentensi Unganishi Paulo anaelezea kwa ufasaha kwamba amesikia kuna dhambi miongoni mwa waumini wa Wakorintho, na namna Wakorintho walivyojisifu na kukaa pamoja na mtu aliyetenda ile dhambi. # Ile hairuhusiwi hata miongoni mwa mataifa Katika muundo tendaji " hata watu wa wasioamini hawawezi kuruhusu" # Mke wa baba mke wa baba yake, lakini yawezekana si mama yake wa kumza # Hampaswi kuhuzunika badala? Hili ni swali lenye jibu limetumika kuwakemea Wakorintho. "Mnapaswa kuhuzunika kwa hili jambo!" # Yeye aliyefanya hivi lazima awe ameondolewa miongoni mwenu Katika hali ya muundo tendaji:- "Ni lazima aondolewe miongoni mwenu aliyefanya jambo hili ."