sw_tn/1co/02/01.md

13 lines
412 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
Paulo anatofautisha kati ya hekima ya kibinadamu na hekima ya Mungu. anaeka mkazo kuwa hekima ya kiroho hutoka kwa Mungu.
# kaka na dada zangu
Hii inamaanisha washirika wote(wakristo), wanaume na wanawake.
# Niliamua kutojua chochote...isipokuwa Yesu Kristo
Paulo alilenga katika kusulubiwa kwa Kristo badala ya mawazo ya kibinandamu: " niliamua kuzungumza zaidi... kuhusu Kristo Yesu