# Sentensi Unganishi Paulo anatofautisha kati ya hekima ya kibinadamu na hekima ya Mungu. anaeka mkazo kuwa hekima ya kiroho hutoka kwa Mungu. # kaka na dada zangu Hii inamaanisha washirika wote(wakristo), wanaume na wanawake. # Niliamua kutojua chochote...isipokuwa Yesu Kristo Paulo alilenga katika kusulubiwa kwa Kristo badala ya mawazo ya kibinandamu: " niliamua kuzungumza zaidi... kuhusu Kristo Yesu