sw_tn/zep/03/09.md

8 lines
309 B
Markdown

# Nitawapa midomo safi watu
Hii ni njia nyingine ya kusema kwamba Mungu atasababisha watu wake kusema ambacho ni haki.
# nitumikieni mimi mkisimama bega kwa bega
Watu wataunganishwa kwa hamu zao kumtumikia Mungu, kama watu wameunganishwa kimwili watakaposimama pamoja kwa mabega yao yakigusana kila mmoja.