# Nitawapa midomo safi watu Hii ni njia nyingine ya kusema kwamba Mungu atasababisha watu wake kusema ambacho ni haki. # nitumikieni mimi mkisimama bega kwa bega Watu wataunganishwa kwa hamu zao kumtumikia Mungu, kama watu wameunganishwa kimwili watakaposimama pamoja kwa mabega yao yakigusana kila mmoja.