sw_tn/zec/13/01.md

20 lines
514 B
Markdown

# kijito
Mahali ambapo kwa asili maji yanatiririka kutoka ardhini.
# kwa ajili ya dhambi zao na uchafu
"Kutakasa dhambi na uchafu wao"
# hili ni tamko la Yahwe wa majeshi
Kifungu hiki mara kwa mara kinafasiriwa kama "asema Yahwe" Kifungu hiki kimetumika mara nyingi katika kitabu cha Zakaria.
# kuondoa majina ya sanamu katika nchi
kufuta ibada ya sanamu katika nchi yote"
# Nitawaondoa pia katika nchi manabii wa uongo na roho wao mchafu
"Pia nitaondoa manabii wa uongo na roho wao wachavu katika nchi."