# kijito Mahali ambapo kwa asili maji yanatiririka kutoka ardhini. # kwa ajili ya dhambi zao na uchafu "Kutakasa dhambi na uchafu wao" # hili ni tamko la Yahwe wa majeshi Kifungu hiki mara kwa mara kinafasiriwa kama "asema Yahwe" Kifungu hiki kimetumika mara nyingi katika kitabu cha Zakaria. # kuondoa majina ya sanamu katika nchi kufuta ibada ya sanamu katika nchi yote" # Nitawaondoa pia katika nchi manabii wa uongo na roho wao mchafu "Pia nitaondoa manabii wa uongo na roho wao wachavu katika nchi."