sw_tn/zec/12/06.md

28 lines
709 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Mistari hii inaendelea na sehemu inayozungumzia shambulio lijalo dhidi ya Yerusalemu na jinsi Mungu atakavyouokoa mji.
# siku hiyo
Hii inamaanisha wakati Yerusalemu itakaposhambuliwa na Mungu uwashinda adui zake.
# kama mitungi ya moto katika miti... nafaka iliyosimama
kama mitungi ya moto kati ya mabua ya nafaka yasiyovunwa shambani"
# vyungu vya moto
Kitu ambacho watu wa kale walitumia kubebea makaa ya moto.
# miale ya moto
Ukuni unaowaka upande mmoja unaotoa nuru mtu anapotembea au kuchukua moto mahali fulani.
# utateketeza watu wote walio karibu
"nitawaharibu watu wawazungukao"
# Yerusalemu atakaa mahali pake tena
Watu wa Yerusalemu wataishi tena katika mji wao.