# Maelezo ya Jumla: Mistari hii inaendelea na sehemu inayozungumzia shambulio lijalo dhidi ya Yerusalemu na jinsi Mungu atakavyouokoa mji. # siku hiyo Hii inamaanisha wakati Yerusalemu itakaposhambuliwa na Mungu uwashinda adui zake. # kama mitungi ya moto katika miti... nafaka iliyosimama kama mitungi ya moto kati ya mabua ya nafaka yasiyovunwa shambani" # vyungu vya moto Kitu ambacho watu wa kale walitumia kubebea makaa ya moto. # miale ya moto Ukuni unaowaka upande mmoja unaotoa nuru mtu anapotembea au kuchukua moto mahali fulani. # utateketeza watu wote walio karibu "nitawaharibu watu wawazungukao" # Yerusalemu atakaa mahali pake tena Watu wa Yerusalemu wataishi tena katika mji wao.