sw_tn/zec/10/06.md

24 lines
491 B
Markdown

# Nitaitia nguvu nyumba ya Yuda
"Nitawaimarisha watu wa Yuda"
# nyumba ya Yusufu
Hii inamaanisha watu wa ufalme wa Israeli kaskazini.
# nilikuwa sijawaondoa
"Nilikuwa sijawakataa"
# Efraimu atakapokuwa kama shujaa
"Efraimu" inarejerea ufalme wa Israeli ya kaskazini.
# mioyo yao itafurahi kama kwa mvinyo
"nao watakuwa kweli na furaha sana
# wana wao wataona na kufurahi. Mioyo yao itanifurahia!
"Wana wao wataona yaliyotokea na watafurahi kwa sababu ya yale Yahwe aliyowafanyia!