# Nitaitia nguvu nyumba ya Yuda "Nitawaimarisha watu wa Yuda" # nyumba ya Yusufu Hii inamaanisha watu wa ufalme wa Israeli kaskazini. # nilikuwa sijawaondoa "Nilikuwa sijawakataa" # Efraimu atakapokuwa kama shujaa "Efraimu" inarejerea ufalme wa Israeli ya kaskazini. # mioyo yao itafurahi kama kwa mvinyo "nao watakuwa kweli na furaha sana # wana wao wataona na kufurahi. Mioyo yao itanifurahia! "Wana wao wataona yaliyotokea na watafurahi kwa sababu ya yale Yahwe aliyowafanyia!