sw_tn/zec/08/16.md

20 lines
499 B
Markdown

# mnalopaswa kufanya
"Ninyi" inawarejerea watu wa Yuda.
# Ongeeni kweli, kila mtu na jirani yake
"semeni kweli kwa kila mtu"
# Hukumuni kwa kweli, haki, na amani malangoni penu
"Hukumuni kwa haki katika mahakama zenu ili watu waishi kwa amani.
# wala msivutwe na nadhiri za uongo
Msikubaliane na watu wasemao uongo katika mashitaka mahakamani"
# Hili ni tamko la Yahwe
Kifungu hiki kwa kawaida kimetafsiriwa kama "asema Yahwe. Kifungu hiki kimetumika mara nyingi katika kitabu cha Zakaria.