# mnalopaswa kufanya "Ninyi" inawarejerea watu wa Yuda. # Ongeeni kweli, kila mtu na jirani yake "semeni kweli kwa kila mtu" # Hukumuni kwa kweli, haki, na amani malangoni penu "Hukumuni kwa haki katika mahakama zenu ili watu waishi kwa amani. # wala msivutwe na nadhiri za uongo Msikubaliane na watu wasemao uongo katika mashitaka mahakamani" # Hili ni tamko la Yahwe Kifungu hiki kwa kawaida kimetafsiriwa kama "asema Yahwe. Kifungu hiki kimetumika mara nyingi katika kitabu cha Zakaria.