sw_tn/zec/08/01.md

16 lines
288 B
Markdown

# Neno la Yahwe wa majeshi lilinijia kusema
Yahwe wa majeshi aliniambia
# Nina huruma kwa ajili yake kwa hasira kubwa
"Nimejaa na hasira kwa ajili ya Sayuni"
# mlima wa Yahwe wa majeshi
Hii inarejerea Mlima Sayuni.
# Mlima mtakatifu
Hapa "Mtakatifu" yamaanisha "ni mali ya Yahwe."