# Neno la Yahwe wa majeshi lilinijia kusema Yahwe wa majeshi aliniambia # Nina huruma kwa ajili yake kwa hasira kubwa "Nimejaa na hasira kwa ajili ya Sayuni" # mlima wa Yahwe wa majeshi Hii inarejerea Mlima Sayuni. # Mlima mtakatifu Hapa "Mtakatifu" yamaanisha "ni mali ya Yahwe."