sw_tn/zec/07/08.md

24 lines
387 B
Markdown

# neno la Yahwe lilikuja
"Yahwe alinena neno lake."
# Kila mtu na afanye hivi
Neno "hivi" inamaanisha jinsi mtu anavyopaswa kuhukumu.
# mjane
mwanamke aliyefiwa mme
# yatima
mtoto ambaye wazazi wake wamefariki
# mgeni
Mtu aliyekatika nchi ya ugeni
# kusiwa na mtu miongoni mwenu anayepanga madhara yoyote kinyume cha mwingine mioyoni mwenu.
"msifanye mipango ya kutenda uovu"