# neno la Yahwe lilikuja "Yahwe alinena neno lake." # Kila mtu na afanye hivi Neno "hivi" inamaanisha jinsi mtu anavyopaswa kuhukumu. # mjane mwanamke aliyefiwa mme # yatima mtoto ambaye wazazi wake wamefariki # mgeni Mtu aliyekatika nchi ya ugeni # kusiwa na mtu miongoni mwenu anayepanga madhara yoyote kinyume cha mwingine mioyoni mwenu. "msifanye mipango ya kutenda uovu"