sw_tn/zec/01/01.md

32 lines
833 B
Markdown

# Katika mwezi wa nane
Huu ni mwezi wa nane katika kalenda ya Kiyahudi. Katika kalenda ya sasa ni mwishoni mwa Octoba na mwanzoni mwa Novemba.
# mwaka wa pili wa kumiliki kwake Dario
"mwaka wa pili tangu Dario alipokuwa mfalme"
# Neno la Yahwe lilikuja
"Yahwe alinena neno lake"
# Berekia...Ido
Haya ni majina ya wanaume.
# Yahwe alikuwa na hasira sana juu ya baba zenu
"Kuwakasirikia sana babu zenu"
# Nirudieni
Neno "rudi" inamaanisha mabadiliko. Yahwe anawaambia watu wa Israeli kubadilika kutoka kutokumtii na kumtii.
# asema Yahwe wa majeshi
Kifungu hiki mara kwa mara kitafasiriwa kama "asema Yahwe" katika UDB. Na kirai hiki kimetumika sana katika kitatu cha Zakaria.
# Nitawarudia ninyi
Kwa kusema atawarudia watu wa Israeli, Yahwe anasema watakuwa na mambo mema yakitokea kwa sababu atakuwa akiwasaidia.