sw_tn/tit/03/12.md

28 lines
478 B
Markdown

# Sentensi unganishi:
Paulo anafunga barua akimwambia Tito cha kufanya baada ya kuchagua viongozi katika Krete na kwa kumpa salamu kutoka kwa wale aliokuwa pamoja nao.
# Nitakapo mtuma
"Baada ya kumtuma"
# Artemi...Tikiko...Zena
Haya ni majina ya wanaume
# harakisha na uje
"fanya haraka na uje" au "njoo haraka"
# kukaa kipindi cha baridi
"kukaa wakati wa majira ya baridi"
# Harakisha na umtume
"Harakisha" au "Usichelewe kutuma"
# na Apolo
"na pia umtume Apolo"