# Sentensi unganishi: Paulo anafunga barua akimwambia Tito cha kufanya baada ya kuchagua viongozi katika Krete na kwa kumpa salamu kutoka kwa wale aliokuwa pamoja nao. # Nitakapo mtuma "Baada ya kumtuma" # Artemi...Tikiko...Zena Haya ni majina ya wanaume # harakisha na uje "fanya haraka na uje" au "njoo haraka" # kukaa kipindi cha baridi "kukaa wakati wa majira ya baridi" # Harakisha na umtume "Harakisha" au "Usichelewe kutuma" # na Apolo "na pia umtume Apolo"