sw_tn/tit/03/01.md

28 lines
847 B
Markdown

# Sentensi unganishi:
Paulo anaendelea kumpa Tito maelekezo juu ya namna ya kufundisha wazee na watu chini ya uangalizi wake huko Krete.
# Uwakumbushe
"Kuwaambia watu wetu tena kile ambacho tayari wanakijua" au "Kuendelea kuwakumbusha"
# nyenyekea kwa viongozi na mamlaka, kuwatii
"fanyeni kama watawala wa kisiasa na wenye mamlaka ya kiserikali wasemavyo kwa kuwatii"
# watawala na wenye mamlaka
Maneno haya yana maana zinazofanana na yametumika pamoja kumuhusisha kila mmoja ambaye anashikilia mamlaka katika serikari.
# muwe tayari kwa kila kazi njema
"muwe rayari kufanya mema wakati wote palipo na fursa"
# ubaya
"ongea mabaya juu ya"
# waache watu wengine waenende katika njia zao
Paulo anawasihi waumini kufanya mambo kama vile watu wengine wanavyopendelea kufanya, ilimradi tu matakwa yao na matendo yao yasiwe ya dhambi. "