sw_tn/tit/02/09.md

32 lines
564 B
Markdown

# mabwana zao
"mabwana zao wenyewe"
# katika kila kitu
"katika kila hali" au "mara zote"
# kuwafurahisha
"kuwafanya mabwana zao wafurahi" au "kuwaridhisha mabwana zao"
# kuiba
kuwaibia vitu vidogo mabwana zao
# kuonesha imani nzuri
"kudhihirisha kuwa wanaaminika kwa mabwana zao"
# katika kila njia
"katika kila jambo wanalolifanya"
# kupamba mafundisho yetu
Paulo anazungumzia mafundisho ya kikristo kana kwamba ni kitu ambacho chaweza kupambwa. "Yafanyeni mafundisho yetu ili yawavutie watu wengine"
# Mungu mwokozi wetu
"Mungu wetu anayetuokoa"