# mabwana zao "mabwana zao wenyewe" # katika kila kitu "katika kila hali" au "mara zote" # kuwafurahisha "kuwafanya mabwana zao wafurahi" au "kuwaridhisha mabwana zao" # kuiba kuwaibia vitu vidogo mabwana zao # kuonesha imani nzuri "kudhihirisha kuwa wanaaminika kwa mabwana zao" # katika kila njia "katika kila jambo wanalolifanya" # kupamba mafundisho yetu Paulo anazungumzia mafundisho ya kikristo kana kwamba ni kitu ambacho chaweza kupambwa. "Yafanyeni mafundisho yetu ili yawavutie watu wengine" # Mungu mwokozi wetu "Mungu wetu anayetuokoa"