sw_tn/tit/02/01.md

36 lines
704 B
Markdown

# Sentensi unganishi:
Paulo anaendelea kumweleza Tito sababu za yeye kuhubiri Neno la Mungu, na jinsi ambavyo wazee, akina mama wazee, vijana, na watumwa au watumishi wanapaswa kuishi kama waamini.
# Lakini wewe
Paulo anatofautisha "Lakini wewe Tito, kinyume na walimu wa uongo"
# na maelekezo ya kuaminika
"mafundisho ya kweli" au "na mafundisho sahihi"
# Kiasi
"akili tengefu" au " "inayojijithibiti binafsi"
# yenye busara
"inayojithibiti binafsi" au "inayotawala tamaa"
# sahihi
"yenye afya"
# sahihi katika imani
"yenye afya katika imani" au "sahihi katika imani zao"
# Sahihi...katika pendo
"na upendo wenye afya"
# sahihi...katika uvumilivu
"imara" au "ya kudumu" au "isiyochoka"