# Sentensi unganishi: Paulo anaendelea kumweleza Tito sababu za yeye kuhubiri Neno la Mungu, na jinsi ambavyo wazee, akina mama wazee, vijana, na watumwa au watumishi wanapaswa kuishi kama waamini. # Lakini wewe Paulo anatofautisha "Lakini wewe Tito, kinyume na walimu wa uongo" # na maelekezo ya kuaminika "mafundisho ya kweli" au "na mafundisho sahihi" # Kiasi "akili tengefu" au " "inayojijithibiti binafsi" # yenye busara "inayojithibiti binafsi" au "inayotawala tamaa" # sahihi "yenye afya" # sahihi katika imani "yenye afya katika imani" au "sahihi katika imani zao" # Sahihi...katika pendo "na upendo wenye afya" # sahihi...katika uvumilivu "imara" au "ya kudumu" au "isiyochoka"