sw_tn/tit/01/04.md

36 lines
914 B
Markdown

# Mwana wa kweli
Ingawa Tito hakuwa mwana wa Paulo kimwili, wanashiriki imani moja katika Kristo. Hivyo katika Kristo, Paulo humwona Tito kama mtoto wake. "wewe ni kama mwanangu"
# Imani yetu ya kawaida
Paulo anaelezea imani ile ile ambayo wote wanayoshiriki katika Kristo. "Mafundisho yale yale ambayo sisi sote tunaamini"
# Neema,huruma na amani
Hii ilikuwa salamu ya kawaida. "Neema,huruma na amani ziwe kwenu" au "mjazwe wema, huruma na amanikwenu."
# Yesu Kristo mwokozi wetu
"Yesu Kristo ambaye ni mwokozi wetu"
# Kwa kusudi hili
"Hii ni sababu"
# Nilikuacha Krete
"Nilikuambia kubaki Krete"
# Kwamba uyatengeneze mambo ambayo hayajakamilika
"Ili kwamba ungeamalizia kupanga mambo yaliyohitajika kukamilishwa."
# Kuweka wazee
"chagua wazee" au "panga na kudhirisha wazee"
# wazee
Katika makanisa ya kwanzaya Kikristo ,Wazee wakikristo walipewa uongozi wa kiroho kwa mkutano wa waumini.