# Mwana wa kweli Ingawa Tito hakuwa mwana wa Paulo kimwili, wanashiriki imani moja katika Kristo. Hivyo katika Kristo, Paulo humwona Tito kama mtoto wake. "wewe ni kama mwanangu" # Imani yetu ya kawaida Paulo anaelezea imani ile ile ambayo wote wanayoshiriki katika Kristo. "Mafundisho yale yale ambayo sisi sote tunaamini" # Neema,huruma na amani Hii ilikuwa salamu ya kawaida. "Neema,huruma na amani ziwe kwenu" au "mjazwe wema, huruma na amanikwenu." # Yesu Kristo mwokozi wetu "Yesu Kristo ambaye ni mwokozi wetu" # Kwa kusudi hili "Hii ni sababu" # Nilikuacha Krete "Nilikuambia kubaki Krete" # Kwamba uyatengeneze mambo ambayo hayajakamilika "Ili kwamba ungeamalizia kupanga mambo yaliyohitajika kukamilishwa." # Kuweka wazee "chagua wazee" au "panga na kudhirisha wazee" # wazee Katika makanisa ya kwanzaya Kikristo ,Wazee wakikristo walipewa uongozi wa kiroho kwa mkutano wa waumini.