sw_tn/sng/08/11.md

24 lines
662 B
Markdown

# Baali Hamoni
Hili ni jina la mji kaskazini mwa Israeli.
# wao ambao watalitunza
"watu watakao simamia"
# Kila mmoja alipaswa kuleta shekeli elfu moja za fedha kwa matunda yake
"Kila mwanaume alipaswa kumpatia Sulemani shekeli elfu moja kama malipo ya matunda ya shamba la mizabibu.
# kuleta shekeli elfu moja za fedha
"kuleta shekeli 1,000 za fedha"
# Shamba langu ka mzabibu ni langu
"Mimi ndiye muhusika wa shamba langu la mizabibu." Mwanamke anajitaja kama shamba la mizabibu kama ilivyo 1:5
# shekeli elfu moja ni za kwako, Sulemani mpenzi
Mwanamke ana mpatia bure faida ya mizabibu kwa Sulemani japo kuwa ni yake anaeza kumpa yeyote anayetaka.