# Baali Hamoni Hili ni jina la mji kaskazini mwa Israeli. # wao ambao watalitunza "watu watakao simamia" # Kila mmoja alipaswa kuleta shekeli elfu moja za fedha kwa matunda yake "Kila mwanaume alipaswa kumpatia Sulemani shekeli elfu moja kama malipo ya matunda ya shamba la mizabibu. # kuleta shekeli elfu moja za fedha "kuleta shekeli 1,000 za fedha" # Shamba langu ka mzabibu ni langu "Mimi ndiye muhusika wa shamba langu la mizabibu." Mwanamke anajitaja kama shamba la mizabibu kama ilivyo 1:5 # shekeli elfu moja ni za kwako, Sulemani mpenzi Mwanamke ana mpatia bure faida ya mizabibu kwa Sulemani japo kuwa ni yake anaeza kumpa yeyote anayetaka.