sw_tn/sng/03/10.md

24 lines
584 B
Markdown

# Nguzo zake
Neno "zake" la husu kiti cha Mfalme Sulemani.
# Nguzo
Neno "nguzo" hapa la husu vipande vya mbao vinvyo shikilia kitambaa cha hema kwenye kiti chake.
# Ndani mwake
"Ndani yake kulikuwa"
# kulipambwa na upendo
"kulifanywa pazuri kwa upendo" au "kulishonewa upendo." Hii ya hashiria kwamba wanawake walifanya kiti cha mfalme kizuri kwa namna ya kipekee kuonyesha upendo wao kwa Sulemani.
# na mtazame mfalme Sulemani
"muone mfalme Sulemani." Neno "tazama" la husu kumuangalia mtu au kitu kwa muda mrefu, mara nyingi kwa hisia kali.
# akivikwa taji
"amevaa taji"