# Nguzo zake Neno "zake" la husu kiti cha Mfalme Sulemani. # Nguzo Neno "nguzo" hapa la husu vipande vya mbao vinvyo shikilia kitambaa cha hema kwenye kiti chake. # Ndani mwake "Ndani yake kulikuwa" # kulipambwa na upendo "kulifanywa pazuri kwa upendo" au "kulishonewa upendo." Hii ya hashiria kwamba wanawake walifanya kiti cha mfalme kizuri kwa namna ya kipekee kuonyesha upendo wao kwa Sulemani. # na mtazame mfalme Sulemani "muone mfalme Sulemani." Neno "tazama" la husu kumuangalia mtu au kitu kwa muda mrefu, mara nyingi kwa hisia kali. # akivikwa taji "amevaa taji"