sw_tn/sng/01/05.md

28 lines
753 B
Markdown

# Mimi ni mweusi lakini mzuri
"Ngozi yangu ni nyeusi, lakini bado ni mzuri"
# mweusi kama hema za Kedari
Makabila ya kuhama hama ya Kedari yalitumia ngozi nyeusi ya mbuzi kujenga nyumba zao. Mwanamke analinganisha ngozi yake na hizi hema.
# mzuri kama mapazia ya Sulemani
Ana fananisha ngozi yake na mapazia mazuri Sulemani aliyo tengeneza ama kwa jumba lake au kwa ajili ya Hekalu.
# limeniunguza
"kuchomwa"
# Wana wa mama yangu
"Kaka zangu wa kambo." Hawa kaka zake labda walikuwa na mama mmoja kama huyu mwanamke lakini sie baba mmoja.
# mtunzi wa mashamba ya mizabibu
"mtu aliye tunza shamba la mizabibu"
# lakini shamba langu la mizabibu sijatunza
Mwanamke ana jilinganisha na shamba la mizabibu. "lakini sijaweza kujitunza mwenyewe."