sw_tn/rut/01/06.md

12 lines
253 B
Markdown

# alisikia katika nchi ya Moabu
"wakati Naomi anaishi na Moabu alisikia"
# Yahweh
Hili ni jina la Mungu alilo lirihidhisha kwa watu wa Agano la Kale.
# alisaidia watu wake kwenye shida
Mungu aliona mahitaji yao na kutoa mavuno mazuri kwa ajili yao