# alisikia katika nchi ya Moabu "wakati Naomi anaishi na Moabu alisikia" # Yahweh Hili ni jina la Mungu alilo lirihidhisha kwa watu wa Agano la Kale. # alisaidia watu wake kwenye shida Mungu aliona mahitaji yao na kutoa mavuno mazuri kwa ajili yao