sw_tn/rom/16/03.md

20 lines
468 B
Markdown

# Prisila na Akila
Priska anajulikana kama Prisila, alikuwa mke wa Akila
# watenda kazi nami katika Kristo Yesu
"Ambaye anatenda kazi na mimi kuwaambia watu habari za Yesu Kristo"
# lisalimie kanisa lililo katika nyumba yao
"Wasalimie waumini ambao hukutana nyumbani mwa nyumba ya Mungu.
# Epanieto
Hili ni jina la mwanaume
# mzaliwa wa kwanza katika Asia kwa Kristo
kivumishi hiki kinamaanisha kuwa Epanieto alikuwa mtu wa kwanza katika Asia kumwamini Yesu.