sw_tn/rom/15/26.md

12 lines
424 B
Markdown

# Ndiyo, ilikuwa kwa upendo wao
"Waumini wa Makedonia na Akaya walipendezwa kutenda" au "walifurahia kutenda"
# hakika wamekuwa wadeni wao
"hakika watu wa Makedonia na Akaya ni wadeni kwa waumini wa Yerusalemu"
# ikiwa mataifa wameshiriki katika mambo yao ya kiroho, wanadaiwa na wao pia kuwahudumia
"tangu mataifa wameshiriki mambo ya rohoni na waumini wa Yerusalem, Mataifa wanadai huduma kwa waumini wa Yerusalemu"