# Ndiyo, ilikuwa kwa upendo wao "Waumini wa Makedonia na Akaya walipendezwa kutenda" au "walifurahia kutenda" # hakika wamekuwa wadeni wao "hakika watu wa Makedonia na Akaya ni wadeni kwa waumini wa Yerusalemu" # ikiwa mataifa wameshiriki katika mambo yao ya kiroho, wanadaiwa na wao pia kuwahudumia "tangu mataifa wameshiriki mambo ya rohoni na waumini wa Yerusalem, Mataifa wanadai huduma kwa waumini wa Yerusalemu"