sw_tn/rom/15/20.md

8 lines
311 B
Markdown

# Kwa njia hii, tamaa yangu imekuwa kuitangaza injili, lakini si mahali Kristo anajulikana kwa jina
"Kwasababu hii, Ninataka huihubiri habari njema katika sehemu ambazo kamwe hazijasikia habari za Kristo"
# Ambao kwa yeye hawana habari zake aliyekuja
"Wale ambao hakuna hata mmoja alishawaambia habari zake"