# Kwa njia hii, tamaa yangu imekuwa kuitangaza injili, lakini si mahali Kristo anajulikana kwa jina "Kwasababu hii, Ninataka huihubiri habari njema katika sehemu ambazo kamwe hazijasikia habari za Kristo" # Ambao kwa yeye hawana habari zake aliyekuja "Wale ambao hakuna hata mmoja alishawaambia habari zake"