sw_tn/rom/15/08.md

20 lines
387 B
Markdown

# Kwakuwa nasema
Neno "Mimi linafafanua juu ya Paulo.
# "Kristo amefanywa mtumishi wa tohara
Yesu Kristo alikuja kuwasaidia Wayahudi"
# ili kwamba aweze kuthibitisha ahadi walizopewa mababa
"kwamba Mungu aweze kuzithibitisha ahadi alizowapa mababa wa Wayahudi"
# kama ilivyoandikwa
"kama ilivyoandikwa kwenye maandiko"
# na kwa mataifa
"na Kristo amefanywa mtumishi wa mataifa"